For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
Food and Beverage

Asali ya Nyuki wadogo (500mls)


  • Asali ya Nyuki wadogo (500mls)

Description

Price : Tsh15,000(Fixed)
Type : Sell
Date : October 4, 2019
Location : Royal Oven Tegeta Nyuki, Nyuki Road, Dar es Salaam, Tanzania

Asali ya nyuki wadogo – 500mls (Nusu Lita)

Reoala Pure Raw Honey – asali ya nyuki wadogo ni nzuri kwa matumizi ya matibabu mbalimbali, kama kifua kwa watoto wenye umri zaidi ya mwaka mmoja (1) na watu wazima.

Kwa matumizi ya kifua – changanya asali ya nyuki wadogo, limao na tangawizi (kamua upate juice yake) na kunywa kijiko kimoja cha chakula asubuhi na jioni.

Kwa mawasiliano tupigie au watsapp 0787-303042.
Huduma ya delivery inapatikana kwa gharama ya mteja. KaribuniLocation

Post your rating


Similiar Products

Top Android
Android