For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
Food and Beverage

Asali ya Nyuki wakubwa (5L)


  • Asali ya Nyuki wakubwa (5L)

Description

Price : Tsh55,000(Fixed)
Type : Sell
Date : October 4, 2019
Location : Tegeta, Dar es Salaam

Asali mbichi ya nyuki wakubwa – lita 5

Reoala Pure Raw Honey ni asali mbichi na halisi ambayo haijachanganywa na kitu chochote na kuifanya kuwa na ubora wa hali ya juu.

Ni nzuri kwa afya yako, unashauriwa kutumia walau kijiko kimoja cha asali kwa siku. Waweza kutumia kama mbadala wa sukari kwa kuweka kwenye chai, ukapaka kwenye mikate, ukapikia kufanya chakula chako kiwe na radha nzuri na tamu.

Pia unaweza kutumia asali ya Reoala kwa kutengenezea vipodozi kwa ajili ya nywele na ngozi kwani yaweza kuifanya ngozi yako kuwa nzuri, laini na nyororo.

Tunauza asali kwa jumla na rejareja, kwa mawasiliano tupigie au watsapp 0787-303042.

Huduma ya delivery inapatikana kwa gharama ya mteja

 Location

Post your rating


Similiar Products

Top Android
Android