Description
Ginger Paste, Tangawizi inafaida kadhaa kiafya kama kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa hali ya mafua na kikohozi, kupunguza sumu mwilini (detoxification), kusaidia kuondoa kichefuchefu, hali ya uchovu na maumivu ya mwili na viungo pamoja na faida zingine nyingi zaidi.
Furahia ladha ya chakula huku ukipata faida za ziada za kiafya