For a better experience please change your browser to CHROME, FIREFOX, OPERA or Internet Explorer.
Food and Beverage

Jema Lishe ( 1kg)


 • Jema Lishe ( 1kg)
 • Jema Lishe ( 1kg)

Description

Price : Tsh3,500(Negotiable)
Type : Sell
Date : April 22, 2019
Location : Songea, Tanzania

Jema Lishe ni unga mzuri wenye mchanganyiko na virutubisho kutoka kwenye nafaka mbalimbali. Unga huu hutumika kwa uji kwa Watoto, Kina Mama Wajawazito, wanaonyonyesha na kama kifungua kinywa kwa familia.

Viungo / Ingredients 

 1. Ulezi / Finger Millet
 2. Mahindi / Maize
 3. Maharagwe ya Soya / Soya Beans
 4. Mchele / Rice
 5. Karanga / Groundnut
 6. Mahindi ya njano / Yellow Corn

Matayarisho na Jinsi ya Kutumia.

 1. Changanya vijiko 6 na maji ya baridi 250 mls
 2. Chemsha maji 750mls ongeza mchanganyiko wa hapo juu huku ukikoroga
 3. Pika kwa muda wa dakika 10 na ongeza maji ukipenda
 4. Ongeza asali, maziwa au maziwa ya soya na acha uchemke tena kidogo na uji utakuwa tayari kwa kunywa.


Location

Post your rating


Similiar Products

Top Android
Android